Title : Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga
link : Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga
Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga
Bayern Munich itaongoza katika mapumziko ya majira ya baridi kwa pointi tatu kileleni mwa msimamo wa Bundesliga kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya nafasi ya pili RB Leipzig.
Mabao ya Thiago na Xabi Alonso yaliiweka wenyeji mbele kabla ya mchezaji wa Leipzig Emil Fosberg kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumchezea vibaya Philipp Lahm.
Robert Lewandowski akafanya matokeo kuwa mabao 3-0 kwa mkwaju wa penalti baada ya mlinda mlango wa Leipzig Peter Gulasci kumchezea vibaya Douglas Costa.
Kwingineko kwenye Bundesliga; 1. FC Köln ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Bayer Levkn wakati FC Ingolstadt ikichapwa mabao 2-1 na SC Freiburg huku Hertha BSC wakiichapa Darmstadt 98 mabao 2-0 na TSG Hoffenheim ikalazimishwa sare ya bao 1-1 na Werder Bremen.
Thus articles Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga
that is all articles Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/bundesliga-bayern-munich-3-0-rb-leipzig.html
0 Response to "Bundesliga: Bayern Munich 3-0 RB Leipzig: Bayern kama kawa hao kileleni Bundesliga"
Post a Comment