Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata

Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata
link : Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata

Read also


Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata

Nice itakwenda mapumziko ya majira ya baridi wakiwa kileleni mwa msimamo wa Ligue 1 lakini sare yao ya 0-0 dhidi ya Bordeaux iliwasaidia Monaco na Paris St-Germain kutakata.
Ulikuwa usiku mbaya kwa Nice, ambao hawakuweza kuziona nyavu za Bordeaux na kushuhudia pia mshambuliaji Mario Balotelli na Younes Belhanda wakioneshwa kadi nyekundu dakika za lala salama.
Radamel Falcao aliifungia tena Monaco wakiichapa Caen mabao 2-1 na kupunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili.
PSG ikaibugiza Lorient mabao 5-0 na sasa wako nyuma ya vinara kwa pointi tano.
Mabingwa watetezi walipata bao la kuongoza kupitia kwa Thomas Meunier kabla ya Zargo Toure kujifunga katika harakati za kuokoa krosi ya Edinson Cavani.
Thiago Silva akafunga bao la tatu kwa kichwa akiunganisha kona ya Lucas wakati Cavani akiendelea kutia chumvi kwenye kidonda cha Lorient kwa bao la nne kupitia mkwaju wa penalti likiwa bao lake la 18 msimu huu na Lucas akafunga bao la tano zikisalia dakika 20.
Falcao alifunga bao lake la 13 msimu huu Monaco ikijisahaulisha kichapo cha wiki iliyopita nyumbani kutoka kwa Olympique Lyonnais na kupata ushindi katika dimba la Stade Louis II.
Mcolombia huyo alifungua ukurasa wa mabao kwa penalti baada ya kuangushwa kwenye box na Tiemoue Bakayoko akafunga bao la pili.
Herve Bazile akaifungia Caen bao la kufutia machozi, ambao walipunguzwa hadi kufikia 10 baada ya Damien Da Silva kutolewa nje kwa kadi nyekundu.
Katika mchezo uliopigwa Nouveau Stade de Bordeaux, Nice walikutwa na mshangao baada ya Balotelli kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumpiga teke Igor Lewczuk kufuatia mlinzi huyo wa Poland kumnyang'anya mpira.
Mchezaji wa Morocco Belhanda naye akaoneshwa kadi nyekundu muda mfupi baadaye.
Kwingineko, timu ya nafasi ya nne Lyon ilipata ushindi wa nne mfululizo baada ya Alexandre Lacazette na Nabil Fekir kufunga katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Angers na Bafetimbi Gomis akafunga bao lake la 10 msimu huu kuisaidia Marseille kuichapa Bastia mabao 2-1 na kulingana pointi na timu ya nafasi ya tano Guingamp.


Thus articles Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata

that is all articles Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/ligue-1-ligue-1-round-up-nice-yabanwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ligue 1: Ligue 1 round-up: Nice yabanwa na Bordeaux, Monaco na Paris St-Germain zatakata"

Post a Comment