Title : Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme
link : Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme
Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme
KLABU za Atletico Madrid na Barcelona zitakutana kwenye nusu-fainali ya Copa del Rey msimu huu.
Mchezo wa kwanza utapigwa katika dimba la Vicente Calderon 1 Februari, huku marudio yakipigwa Nou Camp wiki moja baadaye.
Atletico ilirekodi ushindi jumla wa mabao 5-2 dhidi ya Eibar, wakati Barcelona ikishinda jumla ya mabao 6-2 dhidi ya Real Sociedad.
Droo ya Ijumaa iliwaweka wababe wa Real Mdrid, Celta Vigo dhidi ya Alaves, ambao waliwaondoa Alcorcon.
Thus articles Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme
that is all articles Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/copa-del-rey-atletico-madrid-kukipiga.html
0 Response to "Copa del Rey: Atletico Madrid kukipiga na Barcelona, Celta Vigo dhidi ya Alaves nusu-fainali Kombe la Mfalme"
Post a Comment