EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou

EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou
link : EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou

Read also


EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou

Zlatan Ibrahimovic atarejea kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kumaliza adhabu ya kukosa mchezo mmoja.
Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan pia wanaweza kuanza kikosi cha kwanza baada ya kuwa na kiwango kizuri dhidi ya Feyenoord, lakini Eric Bailly na Chris Smalling watakosekana kutokana na kuwa majeruhi.
Nahodha wa West Ham Mark Noble atakuwepo baada ya kutumikia kifungo lakini mlinzi Winston Reid atakosekana kwa sababu ya kadi nyekundu aliyooneshwa dhidi ya Tottenham.
Pedro Obiang anatarajiwa kuwa fit licha ya maumivu ya enka.

Manchester United v West Ham United

Uso-kwa-uso
  • West Ham ilitoka sare mara mbili ugenini dhidi ya United msimu uliopita (0-0 kwenye ligi, na bao 1-1 kwenye FA Cup), ikimaliza mbio za kichapo mara nane mfululizo katika dimba la Old Trafford kwenye mashindano yote.
  • The Hammers imeshinda mara mbili katika mechi 23 za ligi kwenye uwanja wa Old Trafford (D1, L20).
  • The Irons imefunga mabao 10 katika mechi 20 za Premier League ilizocheza Old Trafford na haijafunga zaidi  ya bao moja kwenye mchezo mmoja.
Manchester United
  • The Red Devils imevuna pointi 19 kwenye mechi 12 za kwanza katika ligi. Msimu pekee wa Premier League kuwa na mwanzo mbaya zaidi ulikuwa 2004-05, walipokuwa na pointi 18 hatua kama hii.
  • Wametoa sare tatu mfululizo nyumbani kwenye ligi kwa mara ya kwanza tangu mfano wa huo baina ya Februari na Aprili 1992. Mara ya mwisho kutoka sare nne mfululizo Old Trafford ilikuwa baina ya Novemba na Disemba 1980.
  • United imepiga mashuti 203 ya Premier League - mashuti 80 zaidi katika hatua hii msimu uliopita.
  • Anthony Martial amefunga kwa mashuti yake yote matatu yaliyolenga lango Manchester United dhidi ya West Ham kwenye mashindano yote.
  • Wayne Rooney amehusika moja kwa moja kwenye mabao 14 katika mechi zake 13 za ligi na makombe dhidi ya West Ham (mabao 11, assist tatu).
  • Anahitaji bao moja kuifikia rekodi ya Sir Bobby Charlton kuwa mfungaji wa muda wote wa Manchester United kwa mabao 249 kwenye mashindano yote.
West Ham
  • The Hammers imepoteza mechi tano kati ya sita ugenini msimu huu (W1). Burnley na Leicester ndiyo timu pekee kuwa na rekodi mbaya ugenini.
  • Wamewatumia wachezaji 26 tofauti kwenye mechi 12 za Premier League, idadi kubwa sawa na Sunderland.
  • West Ham imepata kadi saba za Premier League tangu kuanza kwa msimu uliopita, zaidi ya timu yoyote.
  • Michail Antonio ameifikia rekodi ya Premier League kwa mabao ya kichwa kwenye kalenda ya mwaka (11, sawa na Tim Cahill mwaka 2010). Mabao yake sita ya mwisho kwenye ligi amefunga kwa kichwa.
  • Dimitri Payet ametengeneza nafasi nyingi zaidi za kufunga kwenye ligi 43 msimu huu kwenye Premier League, lakini nafasi nne kati ya hizo zimetumiwa vizuri na Hammers.
 Mechi nyingine kwenye Premier League leo ni Watford watakuwa wenyeji wa Stoke City huku Arsenal wakiwaalika Bournemouth kwenye dimba la Emirates na Southampton watakuwa nyumbani dhidi ya Everton.


Thus articles EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou

that is all articles EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/epl-4-viwanjani-leo-epl-match-preview.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EPL: 4 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v West Ham United: Zlatan Ibrahimovic arejea, Wayne Rooney na Henrikh Mkhitaryan kuanza baada ya kumkuna Mou"

Post a Comment