EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho

EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho
link : EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho

Read also


EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho

KIUNGO wa Southampton Dusan Tadic anapatikana kucheza licha ya kuvunjika mwamba wa pua wakati akitimiza majukumu yake kimataifa.
Pierre-Emile Hojbjerg na Fraser Forster pia wako fit, lakini Cedric Soares, James Ward-Prowse, Ryan Bertrand na Shane Long wapo shakani.
Liverpool inaangalia uimara wa Adam Lallana baada ya kutonesha majeraha wakati anaichezea England.
Philippe Coutinho pia yupo shakani kutokana na kuwa majeruhi lakini Dejan Lovren amerejea baada ya kupona.

Southampton v Liverpool

Uso-kwa-uso
  • Southampton ilimaliza ukame wa mechi nne bila ushindi kwenye Premier League dhidi ya Liverpool kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya the Reds Mechi (D1, L3).
  • Hata hivyo, Liverpool iliichapa Saints mabao 6-1 kwenye dimba la St Mary's msimu uliopita kwenye League Cup.
Southampton
  • Southampton imeshinda mara moja kati ya mechi tano za ligi (D2, L2).
  • Hata hivyo, kichapo chao kutoka kwa Chelsea kwenye mchezo wa mwisho kwenye dimba la St Mary's kilikuwa kichapo cha mwisho kwenye mechi 10 za ligi nyumbani (W6, D3).
  • Ni Liverpool na Manchester United (zote 16) zimeshinda mechi nyingi zaidi za ligi zaidi ya Southampton (15) mwaka 2016.
  • Imepoteza pointi nyingi zaidi kwenye ligi kutoka kwenye eneo la kuongoza msimu huu.
  • Charlie Austin amefunga mabao manane kwenye mashindano yote msimu huu - hakuna mchezaji wa English Premier League aliyefunga zaidi (Theo Walcott pia amefunga mabao manane).
Liverpool
  • Liverpool haijafungwa kwenye mechi tisa za ligi, ikishinda saba na sare mbili -mbio zilizowachukua kileleni mwa msimamo wa Premier League kwa mara ya kwanza tangu May 2014.
  • Huu ni mwanzo mzuri wa Liverpool kwenye msimu tangu 2008-09, walipokuwa na pointi 26 baada ya mechi 11. Mara pekee kuwa na mwanzo mzuri kwenye msimu wa Premier League ilikuwa 2002-03, walipokuwa na pointi 27 hatua hii.
  • Hakuna timu iliyopata pointi nyingi kutoka eneo la kupoteza msimu huu zaidi ya Liverpool, pointi sita.
  • Philippe Coutinho amefunga kwenye mechi tatu kati ya nne za ligi alizotembelea uwanja wa St Mary's.


Thus articles EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho

that is all articles EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/epl-southampton-v-liverpool-reds.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EPL: Southampton v Liverpool: The Reds hatihati kumkosa Philippe Coutinho"

Post a Comment