La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid

La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid
link : La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid

Read also


La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid

Luis Suarez aliihakikishia Barcelona kuwa haitowachwa mbali na vinara wa La Liga Real Madrid baada ya kuifungia bao la ushindi katika mchezo dhidi ya Sevilla.
Mshambuliaji huyo wa Uruguay alifunga bao hilo dakika ya 61 akimalizia pasi ya Lionel Messi akifunga bao lake la 95 katika mechi 112 akiwa na Barcelona.
Vitolo aliipa Sevilla bao la kuongoza dakika ya 15 kabla ya Messi kusawazisha.
Barcelona sasa ina pointi 25 baada ya mechi 11, pointi mbili nyuma ya Real, huku Sevilla wakiwa katika nafasi ya tatu kwa pointi 21.
Kwingineko kwenye La Liga, Celta De Vigo waliichapa Valencia mabao 2-1 wakati Espanyol wakilazimishwa sare ya 0-0 na Athletic Bilbao na Villarreal wakiitambia Real Betis kwa mabao 2-0.


Thus articles La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid

that is all articles La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/la-liga-sevilla-1-2-barcelona-barca.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "La Liga: Sevilla 1-2 Barcelona: Barca yazidi kuibana Real Madrid"

Post a Comment