EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney

EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney
link : EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney

Read also


EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney

NAHODHA wa Manchester United Wayne Rooney huenda akakosekana tena kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mguu ambayo yalimuweka nje kwenye wa Boxing Day dhidi ya Sunderland.
Luke Shaw ni mchezaji pekee wa kikosi cha kwanza kwenye orodha ya majeruhi, lakini meneja Jose Mourinho anasema hayuko mbali atarejea.
Mlinzi wa Middlesbrough Antonio Barragan amefungiwa baada ya kuoneshwa kadi tano za manjano msimu huu.
Winga Viktor Fischer atakosekana kutokana na majeraha ya goti.

Manchester United v Middlesbrough

Uso-kwa-uso
  • Manchester United haijafungwa kwenye mechi saba za mwisho kwenye ligi dhidi ya Middlesbrough (W4, D3). Kichapo chao cha mwisho kilikuwa mabao 4-1 kwenye uwanja wa Riverside Oktoba 2005.
  • Hata hivyo, United walitupwa nje ya League Cup katika mchezo uliopigwa Old Trafford katika mkutano wa hivi karibuni Oktoba msimu uliopita. Boro ilishinda mabao 3-1 kwa penalti baada ya sare ya 0-0.
  • Ushindi wa mwisho wa Middlesbrough wa ligi kuupata Old Trafford ulikuja Februari 2004.
Manchester United
  • Manchester United inaweza kushinda mara tano mfululizo kwenye ligi katika mwezi mmoja kwa mara ya kwanza tangu Disemba 2012.
  • Hawajafungwa kwenye mechi tisa za ligi, na katika mechi saba walizocheza Old Trafford (W3, D4).
  • United walikuwa na clean sheet kwenye mchezo wao wa mwisho wa ligi katika miaka ya 2012, 2013, 2014 na 2015.
  • Zlatan Ibrahimovic amehusika katika mabao 14 ya Premier League msimu huu (mabao 12, assist mbili) - mabao manane zaidi ya mchezaji yeyote wa Manchester United.
Middlesbrough
  • Middlesbrough imepoteza mechi tatu kati ya nne za ligi.
  • Wamepata ushindi mara moja katika mechi 22 za Premier League ugenini (D6, L15).
  • Boro haijapoteza mchezo wa mwisho wa ligi katika kalenda ya mwaka tangu 2009 (W4, D2).
  • Ni Hull, ikiwa na mabao 14, imefunga mabao machache zaidi ya Middlesbrough yenye mabao 16 msimu huu.
Mechi nyingine leo ni Burnley watakuwa nyumbani kuwakaribisha Sunderland wakati vinara wa ligi hiyo Chelsea wakiwa wenyeji wa Stoke City kwenye dimba la Stanford Bridge. Mabingwa watetezi Leicester City watakuwa wenyeji wa West Ham United na West Brom watakuwa wageni wa Southampton.
Swansea City watawaalika Bournemouth na Liverpool watakuwa nyumbani Anfield wakiwaalika Manchester City.


Thus articles EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney

that is all articles EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/epl-7-viwanjani-leo-epl-match-preview.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EPL: 7 viwanjani leo EPL: Match Preview: Manchester United v Middlesbrough: United kuendelea kuikosa huduma ya Rooney"

Post a Comment