Title : La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m
link : La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m
La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m
FOWADI wa Barcelona Luis Suarez amekubali mkataba mpya na miamba ya soka la Uhispania - mkataba ambao unajumuisha bei dira ya paundi 167.5m kwa klabu itakayomhitaji.
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool amefunga mabao 97 na ameshinda mataji manane tangu alipotua Nou Camp July 2014 kwa paundi 75m.
Taarifa ya Barca imesema mkataba, ambao unamfunga mshambuliaji huyo wa Uruguay mwenye miaka 29 hadi mwaka 2021, utasainiwa Ijumaa.
Alifunga mabao 40 msimu uliopita.
Wachezaji watatu wa Amerika ya Kusini Suarez, Messi - mfungaji wa muda wote wa Barca - na Neymar walifunga jumla ya mabao 131 kwenye mashindano yote wakishinda La Liga na Copa del Rey.
Fowadi wa kimataifa wa Argentina Messi, 29, ana mkataba na Barcelona hadi June 2018 lakini ameanza mazungumzo ya mkataba mpya.
Thus articles La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m
that is all articles La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/la-liga-news-unamtaka-luis-suarez.html
0 Response to "La Liga News: Unamtaka Luis Suarez? Anauzwa paundi 167.5m"
Post a Comment