Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone

Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone
link : Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone

Read also


Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone

MABAO ya kipindi cha pili kutoka kwa Kevin Strootman na Radja Nainggolan yaliifanya AS Roma kufuta uteja wa miaka minne katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lazio Jumapili.
Katika mchezo huo maarufu kama 'Derby della Capitale' kwa miaka kadhaa umekuwa ukipigwa bila mashabiki nusu.
Baada ya kipindi cha kwanza kuisha bila mabao, Roma wakapambana na kushuhudia mabao ya Strootman kisha Nainggolan ndani ya dakika 13 kila moja.
Roma sasa haijafungwa kwenye mechi nane mfululizo za derby tangu 2012 na ushindi wao wa 10 msimu huu na kuwafanya vijana wa Luciano Spalletti kukamata nafasi ya pili kwa pointi nne nyuma ya vinara Juventus huku Lazio sasa wakiwa nyuma ya Roma kwa pointi nne.
AC Milan inakamata nafasi ya tatu, pia pointi nne nyuma ya vinara, baada ya Gianluca Lapadula alifunga bao la dakika za lala salama na kuipa Rossoneri ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crotone kwenye dimba la San Siro.
Baada ya ushindi wa Napoli wa mabao 3-0 dhidi ya Inter Milan Ijumaa kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa, ushindi wa Milan umeongeza presha kwa Roma.
Kwingineko, mlinda mlango wa England Joe Hart alifungwa mara mbili Torino wakichapwa mabao 2-0 na Sampdoria.
Sassuolo ikashinda mabao 3-0 dhidi ya Empoli, huku Pescara ikitoka sare ya bao 1-1 na Cagliari.
Fiorentina ikashinda mabao 2-1 shukrani kwa bao la ushindi lililofungwa na mshambuliaji wa Senegal Khouma Babacar dhidi ya Palermo.
Fiorentina sasa ina pointi mbili juu ya Inter Milan na 13 nyuma ya vinara Juventus, ingawa vijana wa Paulo Sousa wana mchezo mmoja mkononi baada ya mchezo dhidi ya Genoa kusogezwa mbele mapema msimu huu.


Thus articles Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone

that is all articles Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/serie-serie-round-up-as-roma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Serie A: Serie A round-up: AS Roma yaichabanga Lazio, AC Milan yaipunyua Crotone"

Post a Comment