Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu

Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu
link : Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu

Read also


Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu

Boss Diego Simeone hatoondoka Atletico Madrid majira ya joto kuchukua nafasi ya meneja wa Arsenal Arsene Wenger, imesema klabu hiyo. (La Sexta, via Sun)
Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zinapigana vikumbo kuinasa saini ya mlinzi wa kushoto wa Napoli Faouzi Ghoulam, 25. (Calcio Mercato)
Watford inataka kufanya uhamisho wa kiungo wa Nottingham Forest Henri Lansbury, 26. (Watford Observer)
Kiungo wa Barcelona Andres Iniesta, 32, anataka kubaki Nou Camp mpaka mwisho wa mkataba wake mwaka 2018. (Marca)
Mlinda mlango Lee Grant, 33, atahamia moja kwa moja Stoke baada ya Derby County kukubali dili lenye thamani ya paundi 1.5m pamoja na marupurupu ya paundi 750,000. (Daily Mail)
Hull City inataka kumsajili mlinzi wa kulia wa FC Groningen Hans Hateboer, 22. (Telegraaf, via Hull Daily Mail)
Kiungo wa Zenit St Petersburg Axel Witsel, 27, atachagua ama kutimkia Chinese Super League katika klabu ya Shanghai SIPG au kujiunga Juventus. (Gazzetta dello Sport - in Italian)
Mlinzi wa Southampton Jose Fonte, 33, analazimika "kufanya uamuzi sahihi" katika dirisha la usajili, anasema mchezaji-mwenza wa Saints na Ureno Cedric Soares, 25. Fonte anaweza kuuzwa Januari. (Southern Daily Echo)
Kiungo wa Real Madrid James Rodriguez, 25, atabaki Bernabeu, kwa mujibu wa baba yake. (AS, via Diez)


Thus articles Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu

that is all articles Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/tetesi-za-usajili-chelsea-bayern-munich.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tetesi za usajili: Chelsea, Bayern Munich na Paris St-Germain zapigania saini ya Faouzi Ghoulam, Iniesta ang'ang'ania Barca, Rodriguez haondoki Bernabeu"

Post a Comment