Title : Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs
link : Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs
Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs
Chelsea imepoteza matumaini ya kulinasa windo lake, baada ya taarifa kudai kuwa Bayern Munich imekubali kumsajili mlinzi wa kati wa Ujerumani Niklas Sule, 22, kutoka klabu ya Hoffenheim. (Bild, via the Sun)
Kiungo wa zamani wa England Frank Lampard angependa kurejea Chelsea. Lampard, 38, yuko huru sasa baada ya mkataba wake wa kuitumikia New York City kuchinda mwishoni mwa mwaka 2016. (Sky Sports)
Meneja wa Sunderland David Moyes anasema mshambuliaji wake Jermain Defoe, 34, haiuzwi. (Sunderland Echo)
Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy ana matumaini kuwa mlinzi Toby Alderweireld, 27, atasaini mkataba mpya wa miaka mitano. (Mirror)
Mshambuliaji wa Italia Manolo Gabbiadini, 25, anataka kuondoka katika klabu yake ya Napoli, kwa mujibu wa rais wa klabu. Everton na Stoke zimekuwa zikitajwa kuiwania saini yake. (Radio Kiss Kiss, via FourFourTwo)
Barcelona imekubali dili la euro 30m (paundi 25.5m) kumnasa mlinzi wa kulia wa Valencia na Ureno Joao Cancelo, 22. (Sport.es)
Meneja Jurgen Klopp amewaambia mashabiki "wasishtushwe" kama Liverpool haitosajili mchezaji yeyote mpya mwezi Januari. (Liverpool club website)
Mlinda mlango wa zamani wa England Ben Foster, 35, amejifungia West Bromwich Albion, baada ya kusaini mkataba mpya kuendelea kuitumikia klabu hiyo. (Express and Star)
Thus articles Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs
that is all articles Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/tetesi-za-usajili-chelsea-yapigwa-pini.html
0 Response to "Tetesi za usajili: Chelsea yapigwa pini na Bayern Munich kwa Niklas Sule, Moyes kutomuuza Defoe, Alderweireld, Gabbiadini kusaini mkataba mpya Spurs"
Post a Comment