Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m

Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m
link : Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m

Read also


Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m

KLABU za Chelsea na Shanghai SIPG zimefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kiungo Oscar kuitumikia Chelsea na kutimkia kwenye Chinese Super League mwezi Januari kwa paundi 60m.
Oscar, 25, alisema mapema mwezi huu uhamisho huo ulikamilika kwa 90%.
Oscar alijiunga Chelsea akitokea Internacional kwa ada ya paundi 25m mwaka 2012 na ameifungia timu hiyo mabao 38 katika mechi 203.
Atakamilisha uhamisho wake "mwanzoni mwa dirisha dogo la usajili mwezi Januari", ilisema taarifa.
Oscar, ambaye amekuwa na wakati mgumu kupata namba kwenye kikosi cha Antonio Conte tangu Oktoba, atajiunga na bosi wa zamani wa Blues Andre Villas-Boas mjini Shanghai.
Klabu hiyo ya Uchina ilithibitisha Oscar "atawasili mjini Shanghai siku chache zijazo kujiunga rasmi SIPG".
Mchezaji huyo, ambaye ameshinda mataji ya Premier League, Europa League na League Cup katika miaka yake minne na nusu kudumu Stamford Bridge, atavuna paundi 400,000 kwa-wiki na uhamisho huo utakuwa katika nafasi ya saba katika orodha ya uhamisho ghali zaidi wa muda wote.
Conte mwishoni mwa wiki iliyopita alisema fedha nyingi zinazotumika juu ya wachezaji na klabu za Uchina ni "hatari kwa timu zote duniani".
Uhamisho wa Oscar unakuja baada ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester City Carlos Tevez kudaiwa kukaribia kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani kwa kufanya uhamisho kutoka klabu ya Boca Juniors kutua Shanghai Shenhua, ambako atakuwa analipwa paundi 615,000-kwa-wiki.
Dirisha la usajili litafunguliwa 1 Januari na kufungwa saa 5:00 usiku 31 Januari.


Thus articles Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m

that is all articles Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/usajili-chelsea-yathibitisha-oscar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Usajili: Chelsea yathibitisha Oscar kujiunga Shanghai SIPG kwa paundi 60m"

Post a Comment