Title : Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi
link : Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi
Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi
DR Congo waliweka nje tofauati za kisiasa na ukata unaowakabili kwenye Africa Cup of Nations na kuwachapa Morocco bao 1-0 katika mchezo wa Kundi C, licha ya kumaliza wakiwa 10.
Vijana wa Florent Ibenge, ambao waliweka mgomo baada wakidai malipo ya bonasi zao Ijumaa, wangalipata bao la mapema katika mchezo uliopigwa Stade d'Oyem baada ya Mbark Boussoufa kugonga mwamba.
Junior Kabananga akafunga bao kabla ya mchezaji wa akiba Lomalisa Mutambala kuoneshwa kadi ya pili ya manjano.
Morocco walikosa mabao mawili kupitia kwa Youssef El-Arabi ambaye kichwa chake kilikosa uelekeo.
Katika mchezo mwingine wa kundi hilo uliopigwa mapema, mabingwa watetezi Ivory Coast walilazimishwa sare ya 0-0 na Togo.
Ingawa Jonathan Kodjia alikaribia kuifungia Ivory Coast lakini shuti lake lilikuwa hafifu na likaokolewa na mlinda mlango wa Togo Kossi Agassa.
Thus articles Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi
that is all articles Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/afcon-2017-cong-dr-1-0-morocco-leopards.html
0 Response to "Afcon 2017: Cong DR 1-0 Morocco: The Leopards waanza kwa ushindi"
Post a Comment