EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?

EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs? - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?
link : EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?

Read also


EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?

WINGA wa Chelsea Pedro amemaliza adhabu yake katika kuelekea kutafuta rekodi ya kushinda mechi 14 mfululizo kwenye Premier League.
Nemanja Matic alipumzishwa kwenye mchezo wa ushindi dhidi ya Stoke na anaweza kujumuishwa kwenye mchezo huu muhimu utakaopigwa White Hart Lane usiku wa leo.
Walinzi wa Tottenham Kyle Walker na Jan Vertonghen wanaweza kurejea katika kikosi cha kwanza baada ya kuukosa mchezo dhidi ya Watford ambao Spurs walishinda - kutokana na kutumikia adhabu.
Erik Lamela ataendelea kukosekana kutokana na kusumbuliwa na kiweo lakini Mousa Dembele, ambaye alipumzishwa dhidi ya Watford, anatarajia kurejea katika nafasi ya kiungo. 

Tottenham v Chelsea

Uso-kwa-uso
  • Tottenham imeshinda mara nne pekee katika mechi 49 za ligi dhidi ya Chelsea (D19, L26), ambapo ushindi wote huo wakiupata White Hart Lane.
  • Chelsea imeshinda mara moja pekee katika mechi 10 za Premier League hivi karibuni ilizocheza White Hart Lane (D5, L4) - ushindi wa mabao 4-2 20 Oktoba 2012.
  • The Blues inaweza kushinda mara mbili kwenye msimu mmoja wa Premier League dhidi ya Spurs kwa mara ya kwanza tangu 2005-06.
Tottenham
  • Tottenham inaweza kuidhibiti rekodi yao ya kutofungwa kwenye mechi 10 za kwanza nyumbani kwenye Premier League kwa mara ya pili. Msimu mwingine kufanya hivyo ulikuwa 2000-01 (walishinda mechi 13).
  • Imeshinda mechi nne za ligi mfululizo, ikifunga mabao 13 na kufungwa mabao matatu pekee katika mechi hizo.
  • Harry Kane amefunga mabao 17 katika mechi 17 za London derby katika Premier League, yakijumuishwa mabao 10 katika mechi tisa alizocheza White Hart Lane.
  • Huu utakuwa mchezo wa 150 kwa Mauricio Pochettino akiwa meneja/kocha mkuu kwenye Premier League.
Chelsea
  • Ushindi kwa Chelsea utawafanya kuwa timu ya kwanza kushinda mechi 14 mfululizo kwenye Premier League katika msimu mmoja. Wataifikia rekodi ya Arsenal ya ushindi mara 14 mfululizo baina ya Februari-Agosti 2002 (kwa misimu miwili).
  • Ni mara moja pekee kabla kwenye Premier League kuwa na timu iliyovuna pointi nyingi zaidi ya pointi 49 za Chelsea katika mechi 19 - hiyo ilikuwa pia Chelsea msimu wa 2005-06 (pointi 52).
  • The Blues imeshinda mechi sita mfululizo za ugenini kwenye Premier League, ikifungwa bao moja pekee.
  • Diego Costa amefunga katika mechi saba kati ya tisa za ugenini kwenye ligi msimu huu, akishindwa kufunga dhidi ya Arsenal na Sunderland.


Thus articles EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?

that is all articles EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs? This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs? the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/epl-tottenham-v-chelsea-chelsea-kuweka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "EPL: Tottenham v Chelsea: Chelsea kuweka rekodi EPL mbele ya Spurs?"

Post a Comment