FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara

FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara
link : FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara

Read also


FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara

Bastian Schweinsteiger alianza kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Manchester United na kufanikiwa kufunga na kutoa assist timu hiyo ikiinyuka Wigan mabao 4-0 kwenye mchezo wa FA Cup uliopigwa Old Trafford.
Marouane Fellaini alikutana na krosi ya Schweinsteiger kufunga bao la kuongoza kabla ya Chris Smalling kufanya matokeo kuwa mabao 2-0 kufuatia krosi ya Anthony Martial, ambaye pia alimtengenezea Henrikh Mkhitaryan aliyefunga bao la tatu.
Schweinsteiger akakamilisha karamu ya mabao akifunga bao la nne.
United, ambayo ilifanya mabadiliko tisa kwenye kikosi ambacho kilicheza na Hull City kwenye nusu-fainali ya EFL Cup Alhamisi iliyopita, waliwatumia wachezaji wa akiba mlinda mlango Joel Pereira, 20, na mlinzi Axel Tuanzebe, 19, kucheza mchezo wao wa kwanza.

Dondoo muhimu

  • Marouane Fellaini amefunga mabao sita kwenye mechi 33 za mashindano ya kombe akiwa na Manchester United, ukilinganisha na mabao saba katika mechi 78 za ligi.
  • Mabao manne ya mwisho kwa Fellaini akiwa na United amefunga kwenye mashindano ya kombe.
  • Man Utd imefunga mabao manne au zaidi kwenye mechi sita chini ya Jose Mourinho (mechi 36), mara mbili zaidi ya walivyofunga kwenye mechi 103 chini ya Louis van Gaal.
  • Anthony Martial amehusika katika mabao tisa kwenye mechi zake nane za FA Cup (mabao matatu, assist sita).
  • Bastian Schweinsteiger alitoa assist ya kwanza tangu Agosti 2015 (v Club Brugge), ikiwa ya pili katika jezi za United.
  • Vyote kwa Schweinsteiger kufunga (moja) na assist (moja) ni mabao mengi kwenye mchezo huu kama ambavyo alifanya kwenye mechi 33 akiwa na United.


Thus articles FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara

that is all articles FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/fa-cup-manchester-united-4-0-wigan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "FA Cup: Manchester United 4-0 Wigan: Bastian Schweinsteiger ang'ara"

Post a Comment