La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi

La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi
link : La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi

Read also


La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi

Real Madrid ilipata faida ya Barcelona na Sevilla kupoteza pointi muhimu wakiichapa Real Sociedad mabao 3-0 na kuongoza msimamo wa La Liga kwa pointi nne zaidi huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi.
Wenyeji walitangulia kufunga baada ya Cristiano Ronaldo kumtengenezea Mateo Kovacic kufunga bao lake la kwanza la La Liga.
Naye Kovacic akatoa assist kwa Ronaldo aliyefunga bao la pili akimzidi ujanja mlinda mlango Geronimo Rulli - likiwa bao lake la 13 katika mechi 13.
Wageni wakamkosa Inigo Martinez ambaye alitolewa nje kwa kadi mbili za manjano kabla ya Alvaro Morata kufunga kwa kichwa bao la tatu akimalizia krosi ya Lucas Vazquez
Kwingineko kwenye La Liga, Real Betis iliibana Barcelona na kutoka sare ya bao 1-1 huku Espanyol ikiitandika Sevilla mabao 3-1 na Ath Bilbao wakiichapa Sporting Gijón mabao 2-1.


Thus articles La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi

that is all articles La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/la-liga-real-madrid-3-0-real-sociedad.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "La Liga: Real Madrid 3-0 Real Sociedad: Real yaongoza La Liga kwa pointi nne zaidi"

Post a Comment