Title : La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili
link : La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili
La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili
Luis Suarez alifunga mara mbili Barcelona ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili nyuma ya vinara wa La Liga Real Madrid baada ya kuisambaratisha Las Palmas kwa mabao 5-0.Suarez alimalizia kazi nzuri ya Andre Gomes kufunga bao pekee kipindi cha kwanza, lakini wenyeji Barca walifunga mabao matatu ya haraka baada ya mapumziko.
Lionel Messi alifunga bao la pili na Suarez akafunga bao la tatu, kabla Arda Turan kufanya matokeo kuwa mabao 4-0.
Bao la kwanza la Aleix Vidal kwa klabu hiyo, akimalizia mpira wa kona uliopigwa na Paco Alcacer, ulikamilisha mabao 5-0.
Kwingineko kwenye La Liga Jumamosi, bao la Nicolas Gaitan dakika ya nane lilidumu hadi dakika 90 Atletico Madrid wakiichapa Real Betis bao 1-0, wakati michezo mingine mwili ikimalizika kwa sare ya 0-0; Athletic Bilbao wakibanwa na Leganes na Villarreal wakilazimishwa sare na Deportivo La Coruna.
Thus articles La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili
that is all articles La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/la-liga-barcelona-5-0-las-palmas-suarez.html
0 Response to "La Liga: Barcelona 5-0 Las Palmas: Suarez apiga mbili Barca ikipunguza pengo la pointi hadi kufikia mbili"
Post a Comment