Title : Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda
link : Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda
Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda
MABINGWA watetezi, URA ya Uganda wamelazimishwa sare ya 0-0 na Simba SC katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi 2017 uliopigwa uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar.Kwa sare hiyo, URA inafikisha pointi nne na italazimika kushinda mchezo wa mwisho Jumapili dhidi ya Taifa Jang’ombe ili kufuzu hatua ya nusu-fainali.
Simba SC wanafikisha pointi saba na kuzidi kujiongezea matumaini ya kucheza nusu-fainali.
Mlinda mlango Peter Manyika alianzishwa kikosi cha kwanza baada ya muda mrefu huku pia Joseph Marius Omog akiwaanzisha washambuliaji wawili Mrundi Laudit Mavugo na Juma Luizio, huku pembeni wakicheza Shizza Kichuya na Pastory Athanas lakini wakashindwa kumpa hata bao moja.
Katika mchezo mwingine wa Kundi hilo uliopigwa mapema, Jang’ombe Boys waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KVZ huku shujaa akiwa mshambuliaji wa Jang'ombe Boys Abdul-samad Kassim Ali aliyefunga hat-trick huku Salum Songoro Maulid akiifungia bao pekee la kufutia machozi KVZ.
Dondoo za mechi
Simba SC; Peter Manyika, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein, Abdi Banda, Method Mwanjali, Shiza Kichuya/Hijja Ugando dk87, Muzamil Yassin, Juma Luizio, Laudit Mavugo/Jamal Mnyate dk80 na Pastory Athanas.
URA: Alionzi Nafian, Kulaba Jimmy, Sekito Sam, Mumaba Allan, Ntambi Julius, Muliky Hudu/Elkanah Nkugwa dk74, Lule Jimmy, Bekota Labama, Kigongo Renald/Makogotya Robert dk54 na Kagimu Shafiq.
URA: Alionzi Nafian, Kulaba Jimmy, Sekito Sam, Mumaba Allan, Ntambi Julius, Muliky Hudu/Elkanah Nkugwa dk74, Lule Jimmy, Bekota Labama, Kigongo Renald/Makogotya Robert dk54 na Kagimu Shafiq.
Thus articles Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda
that is all articles Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/mapinduzi-cup-2017-simba-sc-0-0-ura.html
0 Response to "Mapinduzi Cup 2017: Simba SC 0-0 URA: Simba yabanwa na watoza ushuru wa Uganda"
Post a Comment