Title : Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika
link : Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika
Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika
Cameroon ilitoka nyuma na kuichapa Misri mabao 2-1 na kutwaa taji la tano la Africa Cup of Nations.
Mchezaji wa akiba Vincent Aboubakar alifunga bao la ushindi zikisalia dakika mbili kufikia mwisho wa mchezo huo, akipiga mpira uliompita mlinzi wa Misri Ali Gabr na kujaa wavuni.
Nicolas Nkoulou aliisawazishia Cameroon, akifunga kwa kichwa baada ya Mohamed Elneny kuifungia Misri dakika ya 22.
Bao la ushindi lililofungwa na Aboubakar liliitangaza wazi sasa Cameroon kurejea kwenye utawala wa soka la Afrika, baada ya miaka 15.
Pia inaifanya nchi hiyo kuwa nafasi ya pili katika nchi zilizofanikiwa zaidi kwenye historia ya mashindano hayo - nyuma ya Misri - na ikiwa mara ya kwanza kuwachapa Pharoahs kwenye fainali tatu za mashindano hayo.
Thus articles Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika
that is all articles Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/02/afcon-2017-cameroon-2-1-misri-vincent.html
0 Response to "Afcon 2017: Cameroon 2-1 Misri: Vincent Aboubakar awarejesha Cameroon kwenye soka la Afrika"
Post a Comment