La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani

La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani
link : La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani

Read also


La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani

Samir Nasri alikosa mkwaju wa penalti na kuifanya timu yake ya Sevilla inayowania taji la La Liga kulazimishwa sare ya 0-0 nyumbani dhidi ya Villarreal.
Nasri, anayekipiga kwa mkopo akitokea Manchester City, alishuhidia mkwaju wake wa pili wa penalti ukiokolewa na mlinda mlango wa Villarreal Sergio Asenjo baada ya Mario Gaspar kumchezea vibaya Vitolo kwenye eneo la penalti.
Asenjo pia aliokoa mpira wa kichwa uliopigwa na Vicente Iborra na kuishangaza Sevilla.
Villarreal walipata nafasi ya kufunga lakini shuti la Adrian Lopez lilikosa uelekeo licha ya kumzunguka mlinda mlango wa Sevilla Sergio Rico.
Matokeo hayo yanaifanya Sevilla kuwa nyuma ya Barcelona kwa pointi mbili na pointi tatu nyuma ya vinara Real Madrid.
Hata hivyo, mabingwa wa Ulaya wana michezo miwili mkononi baada ya mchezo wao wa Jumapili ugenini dhidi ya Celta Vigo kughairishwa kutokana na hali mbaya ya hewa.
Kwingineko kwenye La Liga, Sporting Gijón ilikubali kichapo cha mabao 4-2 kutoka kwa Alavés wakati Real Sociedad wakiichapa Osasuna mabao 3-2.


Thus articles La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani

that is all articles La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/02/la-liga-sevilla-0-0-villarreal-samir.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "La Liga: Sevilla 0-0 Villarreal: Samir Nasri akosa penalti Sevilla ikibanwa nyumbani"

Post a Comment