UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL

UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL
link : UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL

Read also


UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL

Leicester City imeendelea kufanya vizuri katika Champions League wakifanikiwa kutinga hatua ya mtoano huku wakisaliwa na mchezo mmoja mkononi wakiichapa Club Brugge mabao 2-1.
The Foxes ilihitaji pointi moja kutinga hatua ya 16, lakini ilifanikiwa kuibuka na pointi zote tatu na kuwa kinara wa Kundi G.
Shinji Okazaki alifunga bao la kwanza akiunganisha krosi ya Christian Fuchs na kuipa uhai zaidi timu ya Claudio Ranieri.
Riyad Mahrez akafunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti - likiwa bao lake la nne kwenye mechi tano za Champions League - baada ya Marc Albrighton kuangushwa na Dion Cools, kabla ya Jose Izquierdo kuifungia Brugge bao zuri la umbali wa yadi 40.

Kifuatacho?

Wakiwa na uhakika wa hatua ya mtoano kwenye Champions League, Leicester itajarobu kurejesha ubora wao kwenye Premier League. Wanakabiliwa na timu ngumu tatu kabla ya droo ya hatua ya mtoano - wakianzia nyumbani dhidi ya Middlesbrough Jumamosi.


Thus articles UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL

that is all articles UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/uefa-leicester-city-2-1-club-brugge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UEFA: Leicester City 2-1 Club Brugge: The Foxes hiyo mtoano UCL"

Post a Comment