Title : UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza
link : UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza
UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza
WACHEZAJI wa Wales Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale wametajwa kwenye orosha ya wachezaji 40 wanaowania kutajwa kwenye kikosi bora cha Uefa.
Allen na Ramsey ni miongoni mwa wachezaji 12 kutoka Premier League.
Fundi wa Leicester City Riyad Mahrez na mchezaji-mwenza wa zamani N'Golo Kante nao wameitwa kutoka kwenye klabu hiyo iliyoshinda Premier League.
Wachezaji wengine kutoka kwenye Premier League ni pamoja na Toby Alderweireld, Laurent Koscielny, Paul Pogba, Kevin de Bruyne, Dimitri Payet, Sergio Aguero, Alexis Sanchez and Zlatan Ibrahimovic.
Mabingwa Champions League Real Madrid ndiyo klabu pekee iliyopewa heshima ya kuwa na wachezaji wengi kwenye orodha hiyo wakiongozwa na mlinda mlango Keylor Navas, walinzi Sergio Ramos, Dani Carvajal na Pepe huku viungo wakiwa ni Luka Modric na Toni Kroos, na washambuliaji wakiwa ni Bale na Cristiano Ronaldo.
Barcelona ina wachezaji watano kwenye orodha hiyo wakiongozwa na Lionel Messi, Luis Suarez, Neymar, Andres Iniesta na Gerard Pique.
Kuna jumla ya walinda mlango wanne kwenye orodha hiyo, walinzi 12, viungo 12 na mafowadi 12.
Mashabiki wanaweza kupiga kura kuichagua timu bora ya mwaka ya Uefa kupitia tovuti ya shirikisho hilo hadi 3 Januari.
Wachezaji 40 (kwa mtiririko wa alfabeti ya nafasi):
Walinda mlango: Gianluigi Buffon (Juventus), Keylor Navas (Real Madrid), Jan Oblak (Atletico Madrid) Rui Patricio (Sporting Lisbon).
Walindi: Toby Alderweireld (Tottenham Hostspur) Jerome Boateng (Bayern Munich), Leonardo Bonnuci (Juventus), Dani Carvajal (Real Madrid), Diego Godin (Atletico Madrid), Raphael Guerreiro (Borussia Dortmund), Juanfran (Atletico Madrid), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Laurent Koscielny (Arsenal), Pepe (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Sergio Ramos (Real Madrid).
Viungo: Joe Allen (Stoke), Kevin De Bruyne (Man City), Yannick Carrasco (Atletico Madrid), Andres Iniesta (Barcelona), N'Golo Kante (Chelsea), Toni Kroos (Real Madrid), Grzegorz Krychowiak (PSG), Riyad Mahrez (Leicester), Luka Modric (Real Madrid), Dimitri Payet (West Ham), Paul Pogba (Man Utd), Aaron Ramsey (Arsenal).
Mafowadi: Sergio Aguero (Man City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Antoine Griezmann (Atletico Madrid), Gonzalo Higuain (Juventus), Zlatan Ibrahimovic (Man Utd), Robert Lewandowski (Bayern Munich), Lionel Messi (Barcelona), Neymar (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Alexis Sanchez (Arsenal), Luis Suarez (Barcelona).
Thus articles UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza
that is all articles UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/uefa-news-timu-bora-ya-mwaka-ya-uefar.html
0 Response to "UEFA News: Timu bora ya mwaka ya Uefar: Joe Allen, Aaron Ramsey na Gareth Bale watajwa, Real Madrid yaongoza"
Post a Comment