Title : Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali
link : Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali
Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali
Real Madrid imeendeleza rekodi yao ya kutofungwa na kufikia mechi 36 sasa baada ya kuichapa Club America mabao 2-0 na kutinga fainali ya Fifa Club World Cup.
Karim Benzema aliwapa mabingwa wa Ulaya bao la kuongoza akimalizia pasi ya kiungo wa Ujerumani Toni Kroos.
Cristiano Ronaldo akafunga bao la pili - na kuihakikishia timu hiyo inacheza fainali Jumapili dhidi ya Kashima Antlers - akifunga bao hilo dakika za lala salama.
Thus articles Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali
that is all articles Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/club-world-cup-club-america-0-2-real.html
0 Response to "Club World Cup: Club America 0-2 Real Madrid: Madrid yatinga fainali"
Post a Comment