EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney

EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney
link : EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney

Read also


EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney

KIUNGO James McCarthy atakuwepo katika kikosi cha Everton kitakachokuwa nyumbani dhidi ya Manchester United baada ya kupona majeraha.
Muhamed Besic na Matthew Pennington watakosekana kwa muda mrefu.
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney amefungiwa kwa mchezo huu baada ya kuoneshwa kadi ya manjano ya tano msimu huu katikati ya wiki kwenye robo-fainali ya EFL Cup dhidi ya West Ham.
Luke Shaw huenda akakosekana baada ya kuumia kwenye mchezo huo, wakati Paul Pogba na Marouane Fellaini wakirejea baada ya adhabu.
Mchezo mwingine utakuwa baina ya Bournemouth dhidi ya Liverpool.

Everton v Manchester United

Uso-kwau-uso
  • Manchester United ilishinda mechi zote tatu za mwisho dhidi ya Everton kukutana msimu uliopita, ya karibuni ikiwa nusu-fainali ya FA Cup sambapo Anthony Martial alifunga bao la ushindi dakika za lala salama.
  • United imevuna ushindi mara 15 kwenye Premier League ilizocheza Goodison Park; haijawahi kushinda mara nyingi zaidi katika uwanja wa ugenini tangu maboresho ya mashindano hayo mwaka 1992.
  • Hata hivyo, Everton imeshinda mara tatu kati ya nne za mwisho za Premier League ilizocheza nyumbani dhidi ya United.
Everton
  • The Toffees imeshinda mara moja kati ya mara nane za Premier League (W1, D3, L4).
  • Hata hivyo, ni moja kati ya timu nne pekee ambazo hazijafungwa nyumbani kwenye Premier League (W3, D3).
  • Vijana wa Ronald Koeman imecheza umbali mkubwa zaidi ya wapinzani wao kwenye mchezo mmoja pekee katika msimu huu wa Premier League, chache zaidi kuliko klabu yoyote.
  • Romelu Lukaku amecheza mechi sita za ligi akiwa na Everton dhidi ya Manchester United bila kufunga.
Manchester United
  • Jumla ya pointi 20 za United ni chache mno baada ya mechi 13 tangu 1990, walipokuwa na idadi hiyo. Walipoteza mchezo wao wa 14 mwaka huo.
  • Timu ya Jose Mourinho imeshinda mara mbili pekee kwenye mechi 10 za mwisho kwenye ligi (W2, D5, L3).
  • The Red Devils imefunga zaidi ya mara moja kwenye mechi nne kati ya 13 za ligi - sawa na Burnley.
  • Mourinho amepoteza mara tatu kati ya 13 za kwanza kwenye ligi akiwa meneja wa Manchester United. Kichapo chake cha nne kwenye ligi akiwa boss wa Chelsea kilikuja baada ya mechi 68.


Thus articles EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney

that is all articles EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/epl-2-viwanjani-leo-epl-match-preview.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EPL: 2 viwanjani leo EPL: Match Preview: Everton v Manchester United: Paul Pogba na Marouane Fellaini warejea United ikimkosa Rooney"

Post a Comment