FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana

FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana
link : FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana

Read also


FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana

DROO ya FA Cup raundi ya tatu imetangazwa, na bingwa mtetezi Manchester United atacheza na Reading katika mchezo unaotajwa kuwa mkubwa kuwahi kupangwa kwenye droo hiyo.
Mabingwa wa sasa United itamkaribisha mchezaji wake wa zamani ambaye sasa ndiye boss wa Royals Jaap Stam katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo huo, wakati timu iliyochapwa kwenye fainali Crystal Palace itacheza na Bolton Wanderers.
Mchezo mwingine unaokisiwa utakuwa mkali unaweza kuwa mchezo wa kwanza wa Pep Guardiola kwenye mashindano hayo Cup, ambapo Manchester City itasafiri mjini London kupambana na West Ham.
Timu za Premier League na Championship zinajumuishwa kwenye mashindano hatua hii, hivyo timu kadhaa zitakuwa na timu ambazo hazina majina makubwa.
Arsenal itakuwa ugenini dhidi ya Preston North End, na Chelsea itacheza dhidi ya ama Notts County au Peterbrough ambapo meneja Antonio Conte akiwa na lengo la kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye mashindano ya kale zaidi duniani.
Liverpool watakipiga dhidi ya ama Newport County au Plymouth Argyle katika dimba la Anfield.
Mechi 32 itapigwa mwishoni mwa wiki ya Januari 6-9, 2017 – na hii ndiyo droo kamili…

Droo ya FA Cup raundi ya tatu

Ipswich Town v Lincoln/OldhamBarrow v Rochdale
Manchester United v Reading
Hull City v Swansea City
Sunderland v Burnley
QPR v Blackburn Rovers
Millwall v AFC Bournemouth
West Ham v Manchester City
Brighton & Hove Albion v MK Dons/Charlton Athletic
Blackpool v Barnsley
Wigan Athletic v Nottingham Forest
Birmingham City v Newcastle United
Chelsea v Notts County/Peterbrough United
Middlesbrough v Sheffield Wednesday
West Brom v Derby County
Everton v Leicester City
Liverpool v Newport County/Plymouth Argyle
Wycombe Wanderers v Northampton Town/Stourbridge
Watford v Burton Albion
Preston North End v Arsenal
Cardiff City v Fulham
Stoke City v Wolves
Cambridge United v Leeds United
Bristol City v Shrewsbury/Fleetwood
Huddersfield v Port Vale
Tottenham v Aston Villa
Brentford v Halifax/Eastleigh
Bolton Wanderers v Crystal Palace
Norwich City v Southampton
Sutton United v AFC Wimbledon
Accrington Stanley v Luton Town
Rotherham United v Oxford United/Macclesfield


Thus articles FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana

that is all articles FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/fa-cup-droo-ya-raundi-ya-tatu-wapinzani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FA Cup: Droo ya raundi ya tatu: Wapinzani wa Manchester United, Liverpool, Chelsea, na Arsenal wajulikana"

Post a Comment