Title : Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016
link : Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016
Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016
NAMBA ya wachezaji wa Premier League imejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji 55 wanaowania kutajwa kwenye kikosi bora cha Dunia 2016 maarufu kama FIFA FIFPro World11 2016.
Nyota wa Manchester United, Chelsea, Arsenal, Leicester City, Manchester City na West Ham wametajwa kuwania nafasi kwenye timu ambayo huamuliwa na zaidi ya wachezaji 25,000 wa kulipwa.
Mlinda mlango mmoja, walinzi wanne, viungo watatu na mafowadi watatu watachaguliwa na watatangazwa Januari 9, 2017.
Nyota wa United David De Gea, Paul Pogba na Zlatan Ibrahimovic wametajwa, wakati majirani zao City wakiwakilishwa na Claudio Bravo, Kevin De Bruyne, David Silva na Sergio Aguero.
Wachezaji 55 waliotajwa kuwania FIFA FIFPro World11 2016
Walinda mlango (5): Claudio Bravo (Chile/FC Barcelona/Manchester City), Gianluigi Buffon (Italia/Juventus), David de Gea (Uhispania/Manchester United), Keylor Navas (Costa Rica/Real Madrid) na Manuel Neuer (Ujerumani/FC Bayern Munich).
Walinzi (20): David Alaba (Austria/FC Bayern Munich), Jordi Alba (Uhispania/FC Barcelona), Serge Aurier (Côte d’Ivoire/Paris Saint-Germain), Héctor Bellerìn (Uhispania/Arsenal), Jérôme Boateng (Ujerumani/FC Bayern Munich), Leonardo Bonucci (Italia/Juventus), Daniel Carvajal (Uhispania/Real Madrid), Giorgio Chiellini (Italia/Juventus), Dani Alves (Brazil/FC Barcelona/Juventus), David Luiz (Brazil/Paris Saint-Germain/Chelsea), Diego Godín (Uruguay/Atlético Madrid), Mats Hummels (Ujerumani/Borussia Dortmund/FC Bayern Munich), Philipp Lahm (Ujerumani/FC Bayern Munich), Marcelo (Brazil/Real Madrid), Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona), Pepe (Ureno/Real Madrid), Gerard Piqué (Uhispania/FC Barcelona), Sergio Ramos (Uhispania/Real Madrid), Thiago Silva (Brazil/Paris Saint-Germain) na Raphaël Varane (Ufaransa/Real Madrid).
Viungo (15): Xabi Alonso (Uhispania/FC Bayern Munich), Sergio Busquets (Uhispania/FC Barcelona), Kevin De Bruyne (Ubelgiji/Manchester City), Eden Hazard (Ubelgiji/Chelsea), Andrés Iniesta (Uhispania/FC Barcelona), N’Golo Kanté (Ufaransa/Leicester City/Chelsea) Toni Kroos (Ujerumani/Real Madrid), Luka Modrić (Croatia/Real Madrid), Mesut Özil (Ujerumani/Arsenal), Dimitri Payet (Ufaransa/West Ham United), Paul Pogba (Ufaransa/Juventus/Manchester United), Ivan Rakitić (Croatia/FC Barcelona), David Silva (Uhispania/Manchester City), Marco Verratti (Italia/Paris Saint-Germain) na Arturo Vidal (Chile/FC Bayern Munich).
Washambuliaji (15): Sergio Agüero (Argentina/Manchester City), Gareth Bale (Wales/Real Madrid), Karim Benzema (Ufaransa/Real Madrid), Cristiano Ronaldo (Ureno/Real Madrid), Paulo Dybala (Argentina/Juventus), Antoine Griezmann (Ufaransa/Atlético Madrid), Gonzalo Higuaín (Argentina/Napoli/Juventus), Zlatan Ibrahimović (Sweden/Paris Saint-Germain/Manchester United), Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich), Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona), Thomas Müller (Ujerumani/FC Bayern Munich), Neymar (Brazil/FC Barcelona), Alexis Sánchez (Chile/Arsenal), Luis Suárez (Uruguay/FC Barcelona) na Jamie Vardy (England/Leicester City).
Kwingineko, Hector Bellerin, Mesut Ozil na Alexis Sanchez wanaiwakilisha the Gunners kwenye orodha – mahasimu wao wa London West Ham wanawakilishwa na Dimitri Payet.

Wachezaji wa Chelsea David Luiz, Eden Hazard na N’Golo Kante wamejumuishwa na mchezaji wa Leicester Jamie Vardy pia ametajwa.
Thus articles Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016
that is all articles Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016 This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016 the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/fifa-news-nyota-15-wa-premier-league.html
0 Response to "Fifa News: Nyota 15 wa Premier League watajwa kuwania nafasi FIFA FIFPro World11 2016"
Post a Comment