EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba

EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba
link : EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba

Read also


EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba

MSHAMBULIAJI wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba.
Zlatan aliwazidi Alexis Sanchez, Diego Costa na Dele Alli kushinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Ajax, 35, alifunga mabao matano katika mechi sita katika mwezi ambao vijana wa Jose Mourinho hawakupoteza mchezo.
Hiyo ni baada ya kusota Oktoba na Novemeba ambapo alifunga bao moja katika michezo 11 lakini alirejea kwenye kiwango chake huku Manchester United ikiiwinda nafasi katika top four.
Vijana wa Mourinho watacheza Liverpool Jumamosi katika dimba la Old Trafford na Ibrahimovic anatarajia kuanza baada ya kuukosa mchezo wa EFL Cup Jumanne dhidi ya Hull kutokana na kuumwa.
Ibrahimovic ana mabao 18 katika mechi 28 msimu huu.


Thus articles EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba

that is all articles EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/epl-news-nyota-wa-manchester-united_13.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EPL News: Nyota wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic atwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Premier League mwezi Disemba"

Post a Comment