La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid

La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid
link : La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid

Read also


La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid

MABINGWA watetezi Barcelona waliendelea kuiongezea presha mahasimu wao katika soka la Uhispania Real Madrid na Sevilla baada ya ushindi wa mabao 4-0 ugenini dhidi ya Eibar.
Mchezaji wa akiba Denis Suarez, ambaye alichukua nafasi ya majeruhi Sergio Busquets, alifunga bao la kuongoza, kabla ya Barca kuongeza presha baada ya mapumziko, wakifunga bao la pili kupitia kwa Lionel Messi aliyemalizia pasi ya Luis Suarez.
Luis Suarez akamzidi ujanja mlinzi Florian Lejeune na kufunga bao la tatu kabla ya Neymar kufunga bao la nne.
Ushindi huo unaifanya Barca inayokamata nafasi ya tatu kuwa nyuma ya vinara Madrid kwa pointi mbili, na pointi moja nyuma ya Sevilla.
Madrid - ambayo iliichapa Malaga mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa Bernabeu Jumamosi - wana mchezo mmoja mkononi, baada ya kuukosa mwezi Disemba walipokuwa kwenye fainali za Club World Cup.
Kwingineko kwenye La Liga, Sevilla iliendelea kuibana Madrid baada ya kuichapa Osasuna mabao 4-3, huku Athletic Bilbao ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani na Atletico Madrid. Real Betis ikatoka sare ya 0-0 na Sporting Gijón na Real Sociedad ikaichapa Celta Vigo bao 1-0.

Kifuatacho?

Kurejea kwenye Copa del Rey kwa timu zote. Mabingwa watetezi Barcelona wataialika Real Sociedad Alhamisi wakiwa na faida ya bao 1-0 katika hatua ya robo-fainali.
Eibar, wakicheza robo-fainali yao ya kwanza, watajaribu kurejesha kipigo cha mabao 3-0 walichopigwa na Atletico Madrid Jumatano.
Kwenye mechi nyingine mbili, Real Madrid watakuwa na kibarua kigumu cha kupindua kipigo cha mabao 2-1 watakapoitembelea Celta Vigo na Alaves walianza na ushindi wa mabao 2-0 nyumbani watakuwa na Alcorcon.


Thus articles La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid

that is all articles La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/la-liga-eibar-0-4-barcelona-barca.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "La Liga: Eibar 0-4 Barcelona: Barca yaongeza presha kwa Real Madrid"

Post a Comment