Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar

Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar
link : Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar

Read also


Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar

TIMU ya Azam imemaliza kileleni mwa msimamo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Yanga mabao 4-0 katika mchezo wa mwisho kundi hilo uliopigwa uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar.Matokeo hayo yanaifanya Azam kumaliza na pointi saba baada ya kushinda mechi mbili na sare moja, wakati Yanga ikimaliza na pointi sita baada ya kushinda mechi mbili na kupoteza moja.Kwa matokeo hayo Azam itacheza na mshindi wa pili wa Kundi B katika nusu-fainali, wakati Yanga itacheza na mshindi wa kwanza wa kundi hilo.Hadi mapumziko, Azam walikuwa mbele kwa bao 1-0 lililofungwa na nahodha wake, John Raphael Bocco, huku bao la pili likifungwa na mshambuliaji wa Ghana, Yahya Mohammed. Naye Joseph Mahundi akafunga bao zuri zaidi kwenye mchezo huo dakika ya 80 kwa shuti la umbali wa mita zaidi ya 20 na winga wa Ghana, Enock Atta Agyei aliyetokea benchi kipindi cha pili, akaifungia Azam bao la nne.
Dondoo za mechi
Azam FC; Aishi Manula, Shomary Kapombe, Gardiel Michael, Aggrey Morris, Yakubu Mohammed/Abdallah Kheri dk91, Stephan Mpondo, Joseph Mahundi, Frank Domayo/Enock Atta Agyei dk79, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, John Bocco/Mudathir Yahya dk86 na Yahya Mohammed/Samuel Afful dk65.
Yanga SC; Deo Munishi, Juma Abdul, Mwinyi Hajji/Geoffrey Mwashiuya dk73, Andrew Vincent, Kevin Yondan, Justin Zulu/Said Juma ‘Makapu’ dk61, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Amissi Tambwe, Thabani Kamusoko/Deus Kaseke dk83 na Juma Mahadhi/Emmanuel Martin dk34.


Thus articles Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar

that is all articles Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/01/mapinduzi-cup-2017-yanga-sc-0-4-azam-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mapinduzi Cup 2017: Yanga SC 0-4 Azam FC: Yanga yapatwa na dharuba kali Visiwani Zanzibar"

Post a Comment