UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa

UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa
link : UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa

Read also


UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa

MLINDA mlango wa Arsenal David Ospina ataanza kikosi cha kwanza ugenini dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa kwanza hatua ya mtoano wa Champions League Jumatano utakaopigwa Allianz Arena.
Ospina, 28, raia wa Colombia, alicheza kwenye mechi zote sita za hatua ya makundi na bosi wa Gunners Arsene Wenger amethibitisha ataendelea kumtumia mbele ya Petr Cech.
Fowadi wa Arsenal Lucas Perez ataukosa mchezo huo wa Allianz Arena kwa sababu ya majeraha.
Kiungo wa Bayern Munich Xabi Alonso alikosa mazoezi Jumatatu kutokana na kuugua goti lakini yuko fiti.
Mchezo mwingine utapigwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu ambapo wenyeji Real Madrid watakuwa na kibarua dhidi ya Napoli.

Ozil kutemwa?

Mesut Ozil pia yupo kwenye kikosi cha Arsenal kitakachokuwa ugenini Allianz Arena lakini taarifa za karibuni zinadai kuwa huenda akatemwa kwenye mchezo huo kutokana na kiwango kibovu.
Ozil raia wa Ujerumani hajaifungia Gunners tangu 10 Disemba.
Mlinzi wa Bayern Mats Hummels anatarajia kukutana na mchezaji-mwenza wa timu ya Taifa, akisema ni "mchezo wa kiwango cha dunia".
"Kwangu ilikuwa mshangao kwamba Mesut huenda asicheze," alisema Hummels.
"Ni mmoja wa watu ambao daima hufanya vizuri uwanjani. Nadhani atakuwa uwanjani tangu dakika ya kwanza kwa sababu ni mchezaji wa kiwango cha dunia."
Hii ni mara ya nne kwa Bayern na Arsenal kukutana hatua kama hii kwenye mashindano haya tangu mwaka 2005, ambapo Bayern ilisonga mbele mara tatu. 


Thus articles UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa

that is all articles UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/02/uefa-bayern-munich-v-arsenal-david.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UEFA: Bayern Munich v Arsenal: David Ospina kuanza, Ozil atemwa"

Post a Comment