UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini

UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini
link : UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini

Read also


UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini

Kostas Mitroglou aliipa Benfica faida ya bao moja kwenye mchezo wa kwanza wa Champions League hatua ya 16 dhidi ya Borussia Dortmund.
Mitroglou alifunga bao pekee kwenye mchezo huo kwa mabingwa wa Ureno akiunganisha mpira wa kichwa uliopigwa na Luisao.
Mshambuliaji wa Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang alipiga mkwaju wa penalti ambao ulidakwa na mlinda mlango wa Benfica Ederson baada ya Ljubomir Fejsa kuunawa mpira katika box.
Dortmund walikuwa vinara wa mabao kwenye hatua ya makundi, lakini walishindwa kupata bao.
Dortmund watakuwa wenyeji wa mchezo wa pili 8 Machi.
Kwingineko, Paris St-Germain waliichabanga Barcelona mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza hatua ya mtoano uliopigwa jijini Paris, Ufaransa.


Thus articles UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini

that is all articles UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2017/02/uefa-benfica-1-0-borussia-dortmund.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UEFA: Benfica 1-0 Borussia Dortmund: Pierre-Emerick Aubameyang akosa penalti Dortmund ikilizwa ugenini"

Post a Comment