Title : La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga
link : La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga
La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga
Cristiano Ronaldo alifunga mara mbili lakini Real Madrid waliendelea kuimarisha njia yao wakiichapa Sporting Gijon mabao 2-1 na pengo la pointi sita kwenye msimamo wa La Liga.
Mabingwa wa Ulaya walitangulia kufunga baada ya Ronaldo kufunga mara mbili ndani ya dakika 18 za kwanza.
Bao la kwanza alifunga kwa mkwaju wa penalti huku akifunga bao la pili kwa kichwa akiunganisha krosi ya Nacho - bao lake la nane kwenye La Liga baada ya mechi nne.
Lakini Carlos Carmona akaifungia Gijon bao la kufuta machozi na Duje Cop akikosa penalti zikisalia dakika 13.
Real iliongoza kwa pointi saba lakini Sevilla iliichapa Valencia mabao 2-1 na kupunguza idadi hiyo hadi kufikia sita huyu yenyewe ikiongoza kwa pointi moja juu ya mabingwa Barcelona ambayo wanaweza kupunguza hadi nne Jumapili ikiwa wataifunga Real Sociedad.
Mabao hayo yanamfanya Ronaldo kufikisha mabao 10 ya La Liga msimu huu, mabao mawili juu ya wachezaji wa Barcelona Lionel Messi na Luis Suarez.
Kwingineko kwenye La Liga Michael Santos alifunga mara mbili Malaga ikishinda mabao 4-3 dhidi ya Deportivo La Coruna.
Espanyol ikashinda mabao 3-0 dhidi ya Leganes.
Thus articles La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga
that is all articles La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/la-liga-real-madrid-2-1-sporting-gijon.html
0 Response to "La Liga: Real Madrid 2-1 Sporting Gijon: Ronaldo apiga zote Madrid ikichanua kileleni La Liga"
Post a Comment