League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani

League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani
link : League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani

Read also


League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani

MSHAMBULIAJI Olivier Giroud ataukosa mchezo wa Arsenal robo-fainali ya EFL Cup dhidi ya Southampton kutokana na kuugua nyonga.
Mlinzi Mathieu Debuchy atakosekana kuokana na majeraha, lakini mshambuliaji Lucas Perez atakuwepo kwenye mchezo huo utakaopigwwa Emirates baada ya maumivu ya enka.
Kiungo Sofiane Boufal yupo kwa upande wa Southampton baada ya maumivu huku Steven Davis akiwa mgonjwa.
Fowadi Josh Sims, 19, huenda akapumzishwa baada ya kucheza kwa mara ya kwanza kikosi cha wakubwa Jumapili wakishinda bao 1-0 dhidi ya Everton kwenye Premier League.
Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alianza kwenye mechi zote za ushindi kwa Arsenal kwenye EFL Cup msimu huu dhidi ya Nottingham Forest na Reading.
"Tunataka kwenda Wembley, tunataka kumalizia njia," alisema mchezaji huyo mwenye miaka 24.
"Nilikuwa naota ushindi siku ya kwanza. Tuna zaidi ya michezo mitatu sasa hivyo naangalia mbele zaidi kucheza na Southampton nyumbani."
Boss wa Southampton Claude Puel ana matumaini ya kushinda taji kwenye msimu wake wa kwanza akiwa meneja wa Saints.
"Ni nafasi ya kujaribu kushinda kitu," alisema mfaransa huyo. "Mchezo uliopita dhidi ya Everton ulikuwa mzuri."

Rekodi mbaya za Arsenal

  • Mechi tatu za mwisho Arsenal kwenye League Cup ilizocheza nyumbani dhidi ya timu za Premier League zilimalizika kwa kichapo.
  • The Gunners imefuzu mara moja kutoka kwenye robo-fainali tano za mwisho kwenye League Cup, mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa 2010-11 ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Wigan.
  • Arsenal imepoteza mara moja kati ya mechi saba za League Cup dhidi ya Southampton.
  • Southampton imekuwa ikiondolewa kwenye hatua kama hii kwenye mashindano haya katika misimu saba iliyopita.
  • Hakuna mchezaji aliyehusika katika mabao mengi ya EFL Cup zaidi ya Alex Oxlade-Chamberlain msimu huu (4 - mabao matatu, assist moja).
  • Oxlade-Chamberlain pia amefunga katika kila bao katika mabao matatu ya Arsenal kwenye EFL Cup.


Thus articles League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani

that is all articles League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/league-cup-arsenal-v-southampton-giroud.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "League Cup: Arsenal v Southampton: Giroud nje, Perez ndani"

Post a Comment