Title : UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic
link : UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic
UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic
Celtic wameondolewa kwenye mashindano ya Ulaya huku Barcelona wakipata nafasi ya kutamba kileleni mwa msimamo wa Kundi C kufuatia ushindi wa mabao 2-0 kwenye Champions League.
Lionel Messi alifunga bao la kwanza akimalizia pasi ya Neymar, huku Craig Gordon akiokoa shuti la Luis Suarez aliyekaribia kufunga bao la pili.
Moussa Dembele alipata nafasi nzuri kwa Celtic lakini alipoteza kabla ya Messi kufunga bao la pili kwa mkwaju wa penalti.
Ingawa Celtic inaweza kulingana na pointi na Borussia Monchengladbach kwenye nafasi ya tatu, lakini Wajerumani hao wana rekodi nzuri ya uso-kwa-uso dhidi yao.
Vijana wa Brendan Rodgers wanasalia na pointi zao mbili, wakipoteza mara mbili dhidi ya Barca - ambao walifungua mchezo wa hatua ya makundi kwa mabao 7-0 dhidi ya Celtic - na watakuwa nyumbani kwa Gladbach.
Thus articles UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic
that is all articles UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.
You are now reading the article UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/11/uefa-celtic-0-2-barcelona-messi-apiga.html
0 Response to "UEFA: Celtic 0-2 Barcelona: Messi apiga mbili kuitupa nje Celtic"
Post a Comment