La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba

La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba - Hallo friend ALL NEW, In the article you read this time with the title La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article Culinary, Article Culture, Article Economy, Article Politics, Article Sports, Article The latest, Article Updated, we write can understand. Well, happy reading.

Title : La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba
link : La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba

Read also


La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba

NAHODHA Sergio Ramos alifunga dakika za lala salama kuisawazishia na kuiongezea Real Madrid rekodi ya kutofungwa tangu mwanzo wa msimu akiukataa ushindi wa Barcelona kwenye mchezo wa El Clasico uliopigwa Camp Nou.
Bao la kichwa cha Luis Suarez akiunganisha free-kick ya Neymar iliwaweka Barcelona mbele.
Lakini dakika za lala salama, Cristiano Ronaldo alikaribia kufunga kabla ya Ramos kusawazisha akiunganisha free-kick ya Luka Modric na kuupa pointi moja uongozi wa Zinedine Zidane kwenye La Liga.
Vinara Real wanasalia kileleni kwa pointi sita juu ya mabingwa watetezi Barca zikichezwa mechi 14.
Real inatizamia kwenda mapumziko ya majira ya baridi wakiwa vinara, Barca wakicheza mechi tatu bila ushindi.
Fowadi wa Barca Neymar, ambaye alikuwa mmoja kati ya wachezaji sita waliooneshwa kadi ya majnao, ataukosa mchezo wa Jumamosi dhidi ya Osasuna.

Zidane aifikia rekodi ya Mourinho

  • Zinedine Zidane ameifikia rekodi ya Jose Mourinho ya mechi 17 ugenini bila kupoteza akiwa kama meneja kwenye La Liga
  • Sergio Ramos alifunga bao lake la nne kwenye El Clasico, likiwa bao lake la kwanza Nou Camp tangu 2007
  • Neymar ametoa assist 13 msimu huu, angalau tano zaidi ya mchezaji yeyote wa La Liga
  • Real Madrid himefunga mabao mengi ya kichwa (tisa) kwenye La Liga msimu huu
  • Lionel Messi alicheza mchezo wake wa 33 kwenye El Clasico kwenye mashindano yote, lakini ni mchezo wa kwanza akiwa kama nahodha
  • Luis Suarez amefunga katika mechi kati ya nne za Clasico kwenye La Liga
  • Real Madrid haijapoteza mchezo wowote kati ya 20 kwenye mashindano yote ambayo Lucas Vazquez alianza kikosi cha kwanza (W17 D3)
  • Marc-Andre ter Stegen ni mlinda mlango wa kwanza wa Ujerumani kucheza El Clasico tangu Bodo Illgner mwaka 1999

Kifuatacho?

Timu zote zitakuwa kwenye Champions League katikati ya wiki. Real Madrid italazimika kuichapa Borussia Dortmund katika dimba la Bernabeu Jumatano kumaliza viongozi wa Kundi F.
Barcelona tayari imefuzu kama vinara wa Kundi C. Watawaalika Borussia Monchengladbach Jumanne.

Matokeo mengine ya Jumamosi yalikuwa bora zaidi kwa Madrid, baada ya Sevilla, Atletico Madrid na Villarreal kutoshinda.
Timu ya nafasi ya tatu Sevilla ilijikuta nyuma ya Madrid kwa pointi saba baada ya kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Granada, ambao wamepata ushindi wa kwanza msimu huu.
Timu ya nafasi ya nne Atletico wanasalia pointi tisa nyuma ya Madrid baada ya sare ya 0-0 dhidi ya Espanyol, wakati Villarreal walishika nafasi ya tano wakilazimishwa sare ya 0-0 na Leganes.


Thus articles La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba

that is all articles La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba This time, hopefully can provide benefits to you all. Okay, see you in another article post.

You are now reading the article La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba the link address https://allnewsinformationtime.blogspot.com/2016/12/la-liga-barcelona-1-1-real-madrid-ramos.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "La Liga: Barcelona 1-1 Real Madrid: Ramos amtoa Zidane kinywani mwa mamba"

Post a Comment